top of page

Medicinal

Our range of medicinal products

Oxtet Inj. 5%

DESCRIPTION: Oxtet Inj. 5% treats diseases caused by bacteria and supportive treatment of Anaplasmosis, ECF and dysentery. Can be used through IV or IM every 3 to 5 days.

DOSAGE: See or follow the instructions of a veterinarian.

PACKAGE TYPE: 100ml

MAELEZO: Oxtet Inj. 5% inatibu magonjwa yanayosababishwa na bacteria na supportive treatment ya Anaplasmosis ECF na ndorobo. Inaweza kutumika IV au IM siku 3 hadi 5.

KIPIMO: Muone au fuata maelekezo ya mtaalamu wa mifugo.

UJAZO: 100ml

Oxtet Inj. 10%

DESCRIPTION: Oxtet Inj. 10% treats diseases caused by bacteria and supportive treatment of Anaplasmosis, ECF and dysentery. Can be used through IM only every 3 to 5 days.

DOSAGE: See or follow the instructions of a veterinarian.

PACKAGE TYPE: 100ml

MAELEZO: Oxtet Inj. 10% inatibu magonjwa yanayosababishwa na bacteria na supportive treatment ya Anaplasmosis ECF na ndorobo. Inaweza kutumika IM tu siku 3 hadi 5.

KIPIMO: Muone au fuata maelekezo ya mtaalamu wa mifugo.

UJAZO: 100ml

Oxtet Inj. 20%

DESCRIPTION: Oxtet Inj. 20% treats diseases caused by bacteria and supportive treatment of Anaplasmosis, ECF and dysentery. Can be used through IM only after every 3 days.

DOSAGE: See or follow the instructions of a veterinarian.

PACKAGE TYPE: 100ml

MAELEZO: Oxtet Inj. 20% inatibu magonjwa yanayosababishwa na bacteria na supportive treatment ya Anaplasmosis ECF na ndorobo. Inaweza kutumika IM tu kila baada ya siku 3.

KIPIMO: Muone au fuata maelekezo ya mtaalamu wa mifugo.

UJAZO: 100ml

Ivermectin Inj. 1%

DESCRIPTION: Ivermectin is a drug that treats internal worms and mange infection.

DOSAGE: 1ml per 50kg of animal (consider the weight of the animal).

PACKAGE TYPE: 50ml

MAELEZO: Ivermectin ni dawa inayotibu minyoo ya ndani na magonjwa ya ngozi.

KIPIMO: 1ml kwa 50kg za mnyama (zingatia uzito wa mnyama).

UJAZO: 50ml

bottom of page